The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

wenger

Wenger Aondoka Rasmi Arsenal

KOCHA wa Arsenal, Arsene Wenger ameridhia kubwaga manyanga mwishoni mwa msimu huu baada ya majadiliano ya kina na uongozi wa klabu hiyo kongwe duniani. "Baada ya kutafakari kwa kina kufuatia mazungumzo na klabu yangu, umefika wakati…

MSIMCHUKULIE POA ARSENE WENGER

LIGI Kuu England ipo raundi ya tatu tangu ianze msimu huu huku Manchester United, iliyo chini ya Jose Mourinho, ikiwa kileleni kwa pointi zake tisa. Mashabiki kote duniani wanaofuatilia michuano hiyo, wameshaanza ubashiri na tayari…

Wenger: Sina Shida na Sanchez

LONDON, England KOCHA wa Arse­nal, Arsene Wenger amesema hakuna tatizo lolote kati yake na mshambuliaji wa timu hiyo, Alexis Sanchez. Mshambuliaji huyo wa Arsenal alionyesha kukasirika wakati al­ipotolewa uwanjani kwenye mchezo wa Ligi…