Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Muheza amepokea kibali cha Ajira mbadala chenye Kumbukumbu Na.FA.228/613/01/D/020 cha tarehe 21/06/2024, na...