MASHABIKI wa Simba wanatamba baada ya usajili wa mshambuliaji Mbrazili, Wilker Henrique da Silva ambaye amesaini mkataba wa miaka miwili...