Wizkid Awakubali Diamond, Kiba
Wizkid.
Mkali wa muziki toka Naija anayetamba kwa kibao chake cha Ojuelegba, Wizkid ameonesha kuwakubali wanamuziki kutoka Tanzania ambao ni Diamond Platnumz na Ali Kiba jambo lililoonesha jinsi muziki wa Bongo Fleva ulivyofika mbali.…
