The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

ZARI THE BOSS LADY

Wema na Zari, Vita Imenoga

ILIANZA kama masihara tu hivi lakini sasa hivi mambo yametaradadi kati ya muigizaji Wema Sepetu na mrembo kutoka pande za Sauz, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’, wanapigana vijembe ile mbaya. Awali, ishu…

Bwana Mpya Amponza Zari

YULE bwana mpya aliyemtambulisha kwa picha hivi karibuni mzazi mwenziye Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’, amemzulia msala wa aina yake mtandaoni. Kilichotokea ni kwamba, mara baada ya…

Zari Ndo’ Basi Tena Bongo!

MWANAMAMA mjasiriamali, raia wa Uganda ambaye ni mzazi mwenza wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Zarinah Hassan ‘Zari’, ni kama amejipalia makaa ya moto kwa Wabongo, baada ya kumuanika mwanaume wake mpya. Yote…