×

Tag: Zimbabwe

Kiongozi wa Upinzani Zimbabwe Aachiliwa Kutoka Jela

Kiongozi wa upinzani wa Zimbabwe Job Sikhala, ambaye amekuwa kizuizini kwa zaidi ya mwaka mmoja na nusu, ameachiliwa Jumanne, baada...

READ MORE

Zimbabwe: Upinzani Wamshutumu Mnangagwa Kumteua Mtoto wake Kwenye Baraza la Mawaziri

Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa ameshutumiwa kwa upendeleo baada ya kumteua mwanawe katika baraza jipya la mawaziri kufuatia kuchaguliwa tena...

READ MORE

Raia Wa Zimbabwe Wanapiga Kura Katika Uchaguzi wa Urais na Ubunge Leo

Raia wa Zimbabwe  leo Jumatano Agosti 23,  2023 wanapiga kura katika uchaguzi wa urais na ubunge baada ya kampeni iliyotawaliwa...

READ MORE

Ugonjwa wa Surua Wazidi Kusasababisha Vifo Nchini Zimbabwe, Mamlaka Zaongea

SERIKALI imesema watoto 157 wamefariki huku idadi ya washukiwa nchini kote ikiongezeka maradufu katika muda wa siku nne.   Wote...

READ MORE

Serikali ya Zimbabwe Yakanusha Madai ya Wananchi Wake Kuuza Vidole

SERIKALI ya Zimbabwe imekanusha madai yanayoenea kwamba raia wake wamekuwa wakiuza baadhi ya vidole vyao vya miguu ili kupata mamilioni...

READ MORE

Chikwende Atumia Siku 30 Kuichunguza Yanga

PERFECT Chikwende, nyota mpya wa Simba amesema alitumia muda wa mwezi mmoja kuwasoma wapinzani wakubwa wa Simba ambao ni Yanga...

READ MORE

Bilionea Ginimbi Kuzikwa na Gunia la Fedha

  BILIONEA wa Zimbabwe, Genius Kadungure maarufu Ginimbi, atazikwa na gunia lililojaa fedha, kama alivyoagiza kwa wanachama wa ‘all-white funeral’....

READ MORE

Raja Casablanca Yamtaka Prince Dube

MTANDAO maarufu wa Soccer24 umeripoti kwamba, vigogo wa Morocco, Raja Casablanca wameweka ofa ya dola za Kimarekani milioni moja (US...

READ MORE

Zimbabwe Yaihoji Vatican Ukosoaji wa Maaskofu

SERIKALI ya Zimbabwe imewasiliana na mwakilishi wa Vatican, Askofu Mkuu Marek Zalewski, kupata maelezo juu ya ukosoaji wa maaskofu wa...

READ MORE

Mataifa Sita ya Afrika Yaliyowahi Kubadilisha Majina! – Video

KAMA ulikuwa hujui bas daka hii! Zimbabwe ilijulikana kama Rhodesia kusini kati ya mwaka 1898-1964, ambalo ni jina la Mkoloni...

READ MORE

Kimbunga ‘Idai’ Chaua Watu 65 – Picha 12

  WATU 65 wamekufa mashariki mwa Zimbabwe kutokana na eneo hilo kukumbwa na kimbunga kiitwacho Ida. Kati ya watu waliopoteza...

READ MORE

MCHUNGAJI YAMKUTA BAADA YA KUSEMA ANA DAWA YA UKIMWI

  MAHAKAMA nchini Zimbabwe imemlima faini ya dola $700 (Tsh Milioni 1.6) mchungaji mmoja mashuhuri nchini Zimbabwe baada ya kumkuta...

READ MORE

Mkoba wa Mugabe Uliojaa Dola Kibao Waibiwa

  WATU watatu wamefikishwa mahakamani nchini Zimbabwe, wakishtakiwa kuiba mkoba uliokuwa na Dola za Marekani 150,000 (Sh. milioni 345) taslimu...

READ MORE

KUAPISHWA KWA RAIS WA ZIMBABWE MJINI HARARE LEO -VIDEO

 Sherehe za kuapishwa Rais Mteule wa Jamhuri ya Zimbabwe Mhe.Emmerson Mnangagwa zinazofanyika leo tarehe 26 Agosti, 2018 katika uwanja...

READ MORE

BREAKING: MNANGAGWA ASHINDA URAIS ZIMBABWE

Tume ya taifa ya uchaguzi nchini Zimbabwe (ZEC) usiku wa kuamkia leo imetangaza matokeo ya uchaguzi wa Rais wa Zimbabwe,...

READ MORE

Uchaguzi Zimbabwe: Mataifa Yaitolea Tamko Zimbabwe Ikomeshe Vurugu

Matumizi ya nguvu ya serikali dhidi ya upinzani nchini Zibabwe baada ya uchaguzi wa Jumatatu yameichochea jamii ya kimataifa kutoa...

READ MORE

Waziri wa Nishati Ahukumiwa Jela Miaka Minne kwa Rushwa

WAZIRI wa zamani wa Nishati wa Zimbabwe, Samuel Undenge,  amehukumiwa kifungo cha miaka minne jela baada ya kupatikana na hatia...

READ MORE

Rais Mnangagwa Amaliza Ziara Yake Nchini – Pichaz

Rais wa Jamhuri ya Zimbabwe, Emmerson Dambudzo Mnangagwa amemaliza ziara yake rasmi ya kiserikali ya siku mbili nchini Tanzania leo...

READ MORE

Baraza la Mawaziri la Mnagangwa Ajaza Wajeda Waliomuondoa Mugabe

RAIS mpya wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa ametangaza Baraza jipya la Mawaziri, ambalo ndani yake amewaweka maofisa wa Jeshi la Ulinzi...

READ MORE

Emmerson Mnangagwa Aapishwa Rais Mpya Zimbabwe

HATIMAYE Zimbabwe imempata rais mpya, Emmerson Mnangagwa, ambaye ameapishwa rasmi kuchukua wadhifa huo kufuatia kujiuzulu kwa Robert Mugabe aliyeliongoza taifa...

READ MORE

Yaliojiri Kuapishwa Rais mpya wa Zimbabwe Emerson D. Mnangagwa

Raia wa Zimbabwe wamekusanyika kwa wingi kwenye uwanja wa michezo mjini katika mji mkuu wa nchi hiyo Harare kwa ajili...

READ MORE

Rais Mtarajiwa Emmerson Mnangagwa Awasili Zimbabwe

Rais mtarajiwa wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa leo  amerudi Zimbabwe akitokea nchini  Afrika Kusini. Anatarajiwa kutoa hotuba yake katika makao makuu...

READ MORE

Mnangagwa Kurejea Zimbabwe Leo, Kuapishwa Ijumaa

EMMERSON Mnangagwa ambaye alikuwa makamu wa rais wa Zimbabwe, anatarajiwa kurejea leo Zimbabwe, ikiwa ni zaidi ya wiki mbili tangu...

READ MORE

Mnangagwa Alifukuzwa Kwa utovu wa Nidhamu Zimbabwe

ALIYEKUWA makamu wa Mugabe, Emmerson Mnangagwa alifukuzwa kazi mapema mwezi huu baada ya kutuhumiwa kwa kutokuwa mwaminifu na utovu wa...

READ MORE

BREAKING NEWS: MUGABE ANG’OLEWA UENYEKITI WA ZANU-PF

  Chama tawala nchini Zimbabwe, ZANU-PF, kimemtimua Rais Robert Mugabe, kwenye uenyekiti wa chama na kumteua aliyekuwa Makamu wa Rais...

READ MORE

WANNE MAHAKAMANI KWA KUMZOMEA MKE WA RAIS MUGABE!

Watu Wanne wamefikishwa mahakamani nchini Zimbabwe kwa kosa la kumzomea mke wa rais wa nchi hiyo, Robert Mugabe, Bi Grace...

READ MORE

ROMA: UKINICHANJA DAMU YANGU NI LOWASSA MTUPU

KWA sasa, ulimwengu wa burudani umetekwa na Ibrahim Musa ‘R.O.M.A’ baada ya kuchafua hali ya hewa na songi la Zimbabwe....

READ MORE

NIKKI WA PILI AMPIGIA SALUTI R.O.M.A

STAA wa muziki wa Hip Hop Bongo, Nickson Simon ‘Nikki wa Pili’ amempigia saluti msanii mwenzake, Ibrahimu Musa ‘R.O.M.A Mkatoliki’...

READ MORE

NAY WA MITEGO AFUNGUKIA BIFU LAKE NA ROMA

HIT MAKER wa ngoma inayobamba kwa sasa Acheze, Emmanuel Elibariki ‘Nay Wa Mitego’, amesema aliumizwa sana na maneno ya rapa...

READ MORE

Mke wa R.O.M.A Amlipua Mbunge LIVE, Kisa ‘Zimbabwe’ (VIDEO)

IKIWA ni siku moja tangu mkali wa michano na mwanaharakati wa kweli Rymes of Magic Attraction R.O.M.A kuachia video ya...

READ MORE

Mke wa Rais Mugabe Amtaka Mumewe Kumtangaza Mrithi Wake

  Mke wa Rais wa Zimabwe, Robert Mugabe, Bi. Grace Mugabe amemtaka kiongozi huyo kumtangaza mrithi wake wa urais ili...

READ MORE

VIDEO: Kutana na Mchungaji Zimbabwe ‘Anayeongea na Mungu kwa Simu’ Madhabahuni

MAAJABU!  Mchungaji nchini Zimbabwe, Paul Sanyangore wa Kanisa la Victory World International amewashangaza waumini wake kanisani alivyopiga simu na kusema...

READ MORE

Ahukumiwa Mahakamani kwa Kumtisha Mwanamke Anayempenda

MUTARE, Zimbabwe Inaweza ikakushangaza lakini ndiyo ukweli wenyewe uliotokea nchini Zimbabwe ambapo jamaa aitwaye Allan Zarema amejikuta akikamatwa na kufikishwa...

READ MORE

Wizkid alivyowatelekeza mashabiki wake kwenye mvua, Zimbabwe

Mwanamuziki maarufu wa Nigeria, Wizkid. MWANAMUZIKI maarufu wa Nigeria, Wizkid, hivi majuzi aliwaudhi mashabiki wa Zimbabwe baada ya kutotumbuiza nchini...

READ MORE