Zitto Apongeza Ushindi wa CCM Muhambwe
KIONGOZI wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, ameipongeza CCM kwa ushindi katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Muhambwe.
Uchaguzi huo ulifanyika jana na Dk Florence Samizi wa CCM, ametangazwa mshindi kwa kupata kura 23,441…
