Taharuki! Ajinyonga Kwa Chandarua Hadi Kufa, Majirani Na Ndugu Wafunguka – Video
Mwanaume mmoja aliyefahamika kwa jina la Emilian Makala mwenye umri wa miaka 46 Mkazi wa Bigwa Barabarani kata ya Bigwa Manispaa ya Morogoro amejinyonga hafi kufa kwa kutumia chandarua.
Baadhi ya ndugu na majirani wanasema marahemu alianza kupata changamoto ya afya ya akili miaka kadhaa iliyopita hueanda imechangia kufanya maamuzi hayo ya kujinyonga.
Marehemu ameacha mke na watoto wanne jitihada za kulitafuta jeshi la polisi zianaendelea Ili kufahamu chanzo cha kifo hicho.
Afisa mtendaji mtaa wa Bigwa Barabarani ulikotokea tukio hilo Vindusi Vindusi amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.