The House of Favourite Newspapers

Taharuki! Dada Wa Kazi Adaiwa Kutoroka Na Watoto Wa Bosi Wake, Familia Yaomba Msaada – Video

Dada wa kazi aliyekuwa akifanya kazi kwenye familia ya Mohammad Kassim anadaiwa kutoroka na watoto wawili wa familia hiyo, zikiwa ni siku tatu tu tangu aanze kufanya kazi kwenye familia hiyo.

Global TV imefika Temeke jijini Dar es Salaam na kuzungumza na Hawa Suleiman, mama wa watoto hao ambaye anasimulia mkasa mzima.