Taharuki! Malori 3 Yashindwa Kupanda Mlima – Video

MALORI matatu ya mizigo yamezua taharuki huku yakitaka kupinduka baada ya kushindwa kupandisha mlima wakati yakitoka Mufindi kupitia Makambako Iringa yakielekea Nairobi.

Magari hayo yaliyokuwa yakisafirisha shehena ya karatasi kutoka Kiwanda cha Mufindi Papers kuelekea Nairobi, yalishindwa kupandisha mlima na kuziba barabara kufuatia mvua kubwa zinazoendelea kunyesha mkoani humo.

========

GLOBAL TV – RIPOTA ni You Tube Channel ya Jamii, inakupa nafasi wewe mdau ku share habari na matukio ya kipekee na wenzio popote walipo duniani, kwa kutumia simu yako ya mkononi.

Popote ulipo unapokutana na tukio ambalo unaweza kulinasa kwa njia ya video ya simu yako, basi usisite kufanya hivyo na kisha tutimie kwenda namba 0753 715 779 (+255753715779).

Loading...

Stori zinazo husiana na ulizosoma

Toa comment