TAJIRI WA MAFUTA Atekwa Dar / FAMILIA Yatangaza Dau Mil.400 – VIDEO

Kigogo wa Kampuni moja ya mafuta jijini Dar es salaam, Dawson Ishengoma adaiwa kutekwa na watu wasiojulikana mwaka 2018 wakati akirudi nyumbani kwake Masaki kutoka katika mihangaiko yake.

Kufuatia hali hiyo, familia yake imetangaza dau la shilingi milioni 400 kwa yeyote atakayesaidia kupatikana kwake.

Loading...

Toa comment