The House of Favourite Newspapers

Tamasha kuombea amani lafana Uwanja wa Taifa Dar

0

Mama Salma Kikwete akizungumza na wananchi muda mfupi baada ya uzinduzi wa albamu hiyo.Mgeni rasmi katika tamasha hilo, Mama Salma Kikwete akikata utepe kama ishara ya uzinduzi wa filamu ya Bonny Mwaitege, iitwayo ‘Tunapendwa na Mungu’. Kulia ni Mkurugenzi wa Msama Promotion, Alex Msama.
Mwimbaji wa nyimbo za Injili, Joshua Mlelwa akiimba kwa hisia kali.

….Akiendelea kuimba.
Mwimbaji Bonny Mwaitege akikamua na wacheza shoo wake.
…Shughuli ikiwa imepamba moto.

TAMASHA la kuombea amani kuelekea uchaguzi mkuu, lilifanyika jana Uwanja wa Taifa jijini Dar ambapo lilihudhuriwa na wengi.

(Habari / Picha: Brighton Masalu / GPL)

 

Leave A Reply