The House of Favourite Newspapers

Tamasha la Tigo Fiesta 2019 _Saizi yako lafana Sumbawanga

Mtangazaji  wa kipindi cha Double XXL kinachorushwa na radio ya crouds fm ambaye alikuwa moja washereheshaji katika tamasha la Tigo Fiesta  Sumbawanga  akiwa na wapenzi wa kipndi hicho  kutoka Sumbawanga

Mkuu wa wilaya  ya Sumbawanga Dr Alfani Haule akiburudika na mziki katika jukwaa la Tigo Fiesta
Dkt. Khalfan  Haule akimtambulisha   Mbunge wa Jimbo la Sumbawanga mjini  Mh Aeshi Hilaly
Msanii wa muziki wa injili Goodluck Gozbeth akitumbuiza kwenye jukwaa la Tigo Fiesta Sumbawanga
Joh Makini akiwa jukwaani  akitumbuiza kwenye Tigo Fiest 2019 sumbawanga
Mamia  ya wapenda burudani wa mkoa wa Rukwa na Mikoa ya karibu wakifurahia burudani mbali mbali zinazotolewa katika jukwaa la Tigo Fiesta saizi yako  Mjini Sumbawanga 

 

 

Comments are closed.