The House of Favourite Newspapers

Tamko la RC Makonda Leo kwa Amber Rutty “JELA” – VIDEO

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, leo Oktoba 29, amezungumza na waandishi wa habari kuhusiana na agizo lake kwa Mwanamitindo Amber Rutty, la kumtaka nkujisalimisha kituo chochote cha polisi kutokana na kuvuja kwa video zake za ngono mitandaoni.

Comments are closed.