Tangazo La Nafasi Ya Kuhamia Taasisi Ya Utafiti Wa Uvuvi Tanzania (TAFIRI)
Kwa niaba ya Taasisi ya Utafiti wa Uvuvi Tanzania (TAFIRI), Ofisi ya Rais, Umma Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi inakaribisha maombi kutoka kwa Watumishi wa Umma wenye sifa zinazofaa wanaotaka kuhamia TAFIRI kujaza nafasi MOJA (1) zilizoachwa wazi:
-Internal Auditor I (1 post)
Deadline for application is 07th October, 2024