The House of Favourite Newspapers

Tanzania Vs Burundi – Mashabiki Wawapa Samatta, Msuva Mzigo -Video

0

LEO Jumapili pale Uwanja wa Mkapa jijini Dar, Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars itashuka dimbani kukipiga dhidi ya Timu ya Taifa ya Burundi, Intamba m’Urugamba, katika mchezo wa kirafiki uliopo kwenye Kalenda ya Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA).

Leave A Reply