SERIKALI imeufuta mkataba ilioingia na kampuni ya Kenya ya Indo Power Solutions Ltd iliyopewa jukumu la kununua korosho tani 100,000.
Serikali kupitia Waziri wa Biashara, Joseph Kakunda, imesema kampuni hiyo imeshindwa kutekeleza sehemu ya makubaliano, hivyo mkataba umefutwa. Mkataba huo uliokuwa na thamani ya Sh. bilioni 400, ulitiwa saini Januari 30 mwaka huu.


Comments are closed.