Tanzania Yapigwa na Congo DR 3-0 Kwa Mkapa
MCHEZO umemalizika kwa Stars kupoteza nyumbani. Congo DR inaongoza kundi ikifikisha pointi 8, Taifa Stars imeshuka hadi nafasi ya 3 ikiwa na pointi 7, ikisaliwa na mchezo mmoja dhidi ya Madagascar ugenini.
FT: Tanzania 0-3 Congo DR Kakuta 6′ Fasika 66′ Malango 85′
FT: Uganda 1-1 Kenya .
FT: Ethiopia 1-1 Ghana.