The House of Favourite Newspapers

TANZANIA YATINGA FAINALI KOMBE LA DUNIA

Timu ya Wasichana Wanaoishi katika mazingira magumu kutoka Tanzania imetinga fainali za Kombe la Dunia kwa kuifunga England 2-1. Mabao ya Tanzania yamefungwa na Mastura Fadhili na Asha Omari.


Kikosi hicho kitapambana na Brazil katika fainali ya Kombe la Dunia (la Watoto wanaoishi mazingira magumu) kati ya Timu ya Tanzania na Brazil itachezwa Jumatano, jijini Moscow nchini Urusi.

Comments are closed.