The House of Favourite Newspapers
gunners X

TANZIA: Aliyewahi Kuwa Mbunge wa Mafia, Abdulkarim Shah Afariki, Kuzikwa Leo

0

Aliwahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Mafia, Abdulkarim Shah kati ya mwaka 2005 hadi 2010 na amefariki dunia jioni ya  Aprili 25, 2020 katika Hospitali ya Hindu Mandal Jijini Dar.

Akiwa mbunge, Shah alipata kuwa Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Ardhi, Maliasili na Utalii na pia alikuwa Kamishna wa Tume ya Utumishi ya Bunge.

Kwa mujibu wa watu wa karibu na familia yake, Marehemu Shah atazikwa Aprili 26, 2020 saa 3 asubuhi na watu wachache.

Marehemu Abdulkarim Shah atazikwa leo Aprili 26, 2020 saa 3 asubuhi katika makaburi ya Kisutu jijini Dar na watu wachache.

Leave A Reply