Tanzia: Binti wa Mzee Mandela Afariki Dunia

Binti wa mwisho wa hayati aliyekuwa Rais wa Kwanza wa Afrika Kusini, Nelson Madiba Mandela, Zindzi Mandela amefariki dunia jijini Johannesburg mapema hii leo Jumatatu, Julai 13, 2020 akiwa na umri wa miaka 59.

 

Taarifa za msiba huo zimethibitishwa na familia ya Mzee Mandela na kutangazwa na Shirika la Utangazaji la nchi hiyo (SABC) lakini chanzo cha kifo hicho bado hakijawekwa wazi.

 

Zindzi ambaye ni mtoto sita wa Mzee Mandela na wa pili kwa mke wa Mandela, Winnie Madikizela-Mandela alikuwa balozi wa Afrika Kusini nchini Denmark tangu mwaka 2015, na ameacha watoto wanne na mumewe.

Unaharakati na siasa

Mwanamke huyo alikuwa mwanarakati wa kisiasa na ni miongoni mwa wale waliopigana dhidi ya uongozi wa ubaguzi wa rangi nchini humo. Wakati alipokuwa na umri wa mwaka mmoja na miezi sita babake, alifungwa jela. Mamake pia alifungwa mara kwa mara wakati huo.

 

Mwaka 1977 Madikizela Mandela alipelekwa katika eneo la Brandfort, katika jimbo la Orange Free State na Zindzi aliandamana naye. Baadaye alielekea nchini Swaziland na alipokamilisha shule ya upili, alijiungana na Chuo kikuu cha Cape Town kwa shahada ya sheria. Yeye na dadake walianza kuwa wazungumzaji wa wazazi wao waliokuwa wakihudumia kifungo jela.

Mwaka 1985, aliofuzu . Zindzi alichaguliwa kusoma taarifa ya babake ya kukataa kutoka jela baada ya aliyekuwa rais wa taifa hilo PW Botha kumtaka kutoka jela bila masharti. Wakati babake Nelson Mandela alipotoka jela 1990, mazungumzo yalianza kati ya chama cha ANC na utawala uliokuwepo kufutilia mbali mfumo wa ubaguzi wa rangi.

 

Huku Afya ya aliekuwa rais wa ANC ikizorota , Mandela alichaguliwa kama raia mpya wa Chama cha ANC na mgombea wa urais nchini Afrika kusini katika uchaguzi wa 1994. Baada ya Mandela kuchaguliwa rais na kumpatia talaka mkewe Winnie 1996, Zindzi alichaguliwa kuandamana na babake katika sherehe ya kumuapisha.

 

=====================

In December 2014, Zindzi graced the cover of FORBES WOMAN AFRICA alongside her mother, a year after her father’s death.

 

She lost her 13-year-old granddaughter, Zenani, in a car crash after a pre-tournament concert during the 2010 FIFA World Cup that took place in South Africa. In 2018, her mother Winnie, passed away. Zindzi is survived by her four children, husband and grandchildren.

 

Zindzi Mandela was born on 23 December 1960 in Soweto to Nelson Mandela and Winnie Mandela. Her father was both a direct descendant of holders of the kingship of the Thembu people and an heir to the chieftaincy of Mvezo. Zindzi’s nephew Mandla, descended from Mandela via his first wife Evelyn Mase, currently holds the latter title.

 

The year of her birth was also the year that the African National Congress (ANC) launched an armed wing. Her parents were wanted by the government. By the time her father was sent to prison Zindzi was 18 months old. During her youth Zindzi was often left in the care of her older sister Zenani Mandela when her mother was sent to prison for months at a time.

 

In 1977 her mother was banished to the Free State and Zindzi lived with her. Zindzi was not able to complete her education until she was sent to Swaziland. Eventually her mother was allowed to move back to Soweto.Tecno


Toa comment