Tanzia: CCM Yapata Pigo
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimepata pigo baada ya kuondokewa mwenyekiti wa chama hicho Wilaya ya Pangani, mkoani Tanga, Hamisi Mnegero, aliyefariki dunia alfajiri ya jana Alhamisi, Mei 9, 2019, akiwa msikitini.
Taarifa ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) imethibitisha na kusema Mnegero alitumikia eenyekiti wa CCM kwa awamu tano mfululizo.
Inna lillahi wainna ilayhi rajiuun.
Comments are closed.