Tanzia: Global Yapata Pigo, Mwandishi wa Championi na Spoti Xtra Afariki Dunia

KWA masikitiko makubwa, uongozi wa Global Publishers, unatangaza kifo cha mwandishi wake wa aliyekuwa akiandikia Magazeti ya Michezo ya Championi na Spoti Xtra, Ibrahim Mressy kilichotokea mchana wa leo Julai 10, 2019 jijini Dar es Salaam.

Taarifa zaidi juu ya msiba huo tutawajuza.

Innalillah Wainna Ilayh Rajiun!


Loading...

Toa comment