Tanzia: Jaji Bomani Afariki Dunia

Jaji Mstaafu Mark Bomani ambaye alikuwa Mwanasheria Mkuu wa kwanza wa Tanzania amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Septemba 11, 2020, katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Ddar es Salaam.Tecno


Toa comment