Tanzia: Mama Salma Kikwete Afiwa na Mama Yake Mzazi

 
MAMA mzazi wa mama Salma Kikwete amefariki dunia leo Ijumaa, Januari 24, 2020, baada ya kuugua kwa muda.
Taarifa iliyotolewa na Mjukuu wa Marehemu, Ridhiwan Kikwete amesema; “Bibi yangu ambaye ni Mama Mzazi wa Mama yangu Salma Kikwete amefariki leo, sababu ya kifo chake alikuwa anaumwa sana, mazishi yanatarajiwa kufanyika kesho, na kwa sasa msiba upo Bagamoyo,” Ridhiwani Kikwete, Msemaji wa Familia.


Loading...

Toa comment