The House of Favourite Newspapers

Tanzia: Mama wa Mbunge Hussein Bashe Afriki Dunia

Mama mzazi wa Mbunge wa Jimbo la Nzega Mjini mkoani Tabora (CCM), Hussein Bashe amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Ijumaa, katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete, Muhumbili jijini Dar es Salaam alipokuwa akitibiwa.

Kupitia akaunti yake ya Twitter, Bashe amesema;

“Ndugu zangu nimeondokewa na mama yangu mpendwa. Inna lillahi wa inna ilayhi raji’un.”

Taarifa zaidi zitafuata baadaye.

 

==========

Ushauri Alioutoa Seneta Ndasa Bungeni Kwa Waziri Kairuki

Comments are closed.