visa

Tanzia: Mchekeshaji Boss Martha Kutoka ‘Cheka Tu’ Afariki Dunia

Boss Martha enzi za uhai wake.

MCHEKESHAJI (Stand Up Comedian) aliyepata umaarufu kupitia kipindi cha Cheka Tu kinachoongozwa na Coy Mzungu, Boss Martha, amefariki dunia mapema leo.
Toa comment