Tanzia: Mke wa Mtangazaji Kibonde Afariki Dunia

#TANZIA: Mke wa Mtangazaji wa Clouds Media, Ephrahim Kibonde, Sara Kibonde amefariki dunia usiku huu wa Jumanne, Julai 10, 2018, katika Hospital ya Hindu Mandal akipatiwa matibabu.

Taarifa za kifo hicho zimetolewa na mtangazaji mwenzake, Gadner G. Habash.

Global Publishers tunatoa pole kwa Kibonde na familia nzima kwa kuondokewa na mpendwa wao.

Mwenyezi Mungu ampe pumziko la milele Sara. Amen!

 

Loading...


Stori zinazo husiana na ulizosoma

Toa comment