The House of Favourite Newspapers
gunners X

TANZIA: Mwandishi Mkongwe Fili Karshani Amefariki Dunia

0

MWANDISHI wa Habari Mkongwe nchini, Fili Karshani amefariki leo Mei 10, 2020 Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam alikokuwa amelazwa jana mchana akitokea Hospitali ya Massana. Msiba upo nyumbani kwake Sinza C jijini Dar karibu na kituo Cha kulelea watoto yatima Cha SOS Village karibu na kituo Cha mabasi Cha simu 2000 Dar es Salaam .

Bwana Ametoa Bwana Ametwaa jina lake LIBARIKIWE! Amina! 🙏

Leave A Reply