The House of Favourite Newspapers

Tanzia: Waziri wa Rais Arap Moi Afariki Dunia

0
Nicholas Biwott

#TANZIA: Waziri wa zamani katika serikali ya Rais Mstaafu Daniel Arap Moi, Nicholas Biwott amefariki dunia akiwa na miaka 77 baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Biwott amabaye alitambuliwa kwa jina la Kimajansi kama Total Man alikuwa waziri mwenye ushaushi mkubwa wakati wa utawala wa chama cha KANU ambako aliwahi kuwa Waziri wa nishati.

Kifo cha Total Man kimekuja ikiwa ni siku chache tangu alipofariki Waziri wa Mambo ya Ndani wa kenya Joseph Nkaissery aliyefariki Jumamosi iliyopita.

Leave A Reply