The House of Favourite Newspapers

Tanzia: Yanga Yapata Pigo

KLABU ya Soka ya Yanga imepata pigo baada ya kuondokewa na mchezaji wake wa zamani na Taifa Sstars, Hassan Goebles ‘Gobbos’ ambaye amefariki dunia leo Alhamisi, Januari 17, 2019, asubuhi.

 

Kwa mujibu wa mtoto wa marehemu, Ibrahim Hassan, mipango ya maziko inafanyika nyumbani kwake Sinza Mori jirani na Big Bon ambapo Mazishi yanatarajiwa kufanyika kesho baada ya Swalat Ijumaa katika makaburi ya Mwinyimkuu Magomeni jijini Dar.

 

Innah lillah wainnah illah rajiun.

 

huku akiendelea kutibiwa.

TANZIA: BABA MZAZI WA ALIKIBA AFARIKI DUNIA

JIUNGE NA FAMILIA YA GLOBAL TV UPANDE MTANDAO WA MAFANIKIO

Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club ==> Global TV Family Club

Comments are closed.