Tarimba, Ally Mayay Wachukua Fomu Urais TFF

 

UCHAGUZI wa TFF Wanaowania nafasi ya urais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) wafikia saba (7), wakiwemo Abbas Tarimba na Ally Mayay. Uchaguzi utafanyika Agosti 7, 2021 mkoani Tanga.Tecno


Toa comment