The House of Favourite Newspapers

Taswira ya jengo la ghorofa 16 linalovunjwa Dar

0

1.Mafundi Ujenzi wakiwa juu ya Gorofa lililokuwa na gorofa 16 katika ubomoaji unaoendelea.Mafundi ujenzi wakiwa kazini kutekeleza uvunjaji wa jengo hilo lililopo mtaa wa Indira Ghandi jijini Dar.
2.Tahadhari inayoonesha zoezi la kuvunjwa kwa gorofa hilo.Tahadhari inayoonesha zoezi la kuvunjwa kwa ghorofa hilo.
3.Taswira ya gorafa linalovunjwa.Taswira ya ghorofa linalovunjwa.
4.Baadhi ya nondo zilizokuwa zimetumika katika ujenzi huo.Baadhi ya nondo zilizokuwa zimetumika katika ujenzi wa jengo hilo.
5.Mwonekano wa jengo la Gorofa 16  kabla ya kuanza kuvunjwa.Mwonekano wa jengo zima kabla ya kuanza kuvunjwa.


KAZI ya kuvunja jengo la ghorofa 16 lililojengwa kinyume cha taratibu za kitaalam inaendelea jijini Dar es Salaam katika Mtaa wa Indira Ghandi. Amri hiyo ilitolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar, Said Meck Sadick, kutokana ushauri wa wataalam.

Na Denis Mtima/Gpl

Leave A Reply