TASWIRA YA MAGARI YA MWENDO KASI YAKIPITA KARIAKOO

Magari ya mwendokasi yakipita katika eneo la Kariakoo.

 Taswira ya eneo la Kariakoo na shamrashamra zake.

…Yakiendelea kupita.

 

ENEO la Kariakoo kama ilivyozoeleka ni eneo ambalo shamrashamra zake ni nyingi, ikiwa ni pamoja na watu, magari na shughuli nyingine mbalimbali za kijamii.  Ni eneo lenye shughuli nyingi zaidi kuliko sehemu nyingine yoyote ya Jiji la Dar es Salaam.

 

Kamera yetu leo ilipita eneo hilo na kunasa taswira mbalimbali za shughuli zifanyikazo eneo hilo hasa kwa upande wa magari ya mwendo kasi.

 

Zifuatazo ni picha  zinazoonyesha taswira ya eneo hilo  na magari ya mwendokasi yakipita katika barabara zake maalum.

 

Na Denis Mtima/Gpl

Loading...

Stori zinazo husiana na ulizosoma

Toa comment