The House of Favourite Newspapers

Taswira za ajali ya Basi la Leina lililojeruhi 30 jana

0

BASI la Leina Tours lililokuwa likitokea Kahama kuja Dar es Salaam jana usiku liliacha njia na kutumbukia katika mtaro eneo la Kimara Bucha.

Idadi ya waliofariki katika ajali hiyo bado haijafahamika ila waliojeruhiwa ni zaidi ya 30 na walikimbizwa Haospitali ya Mwananyamala na Muhimbili.

Zifuatazo ni picha za ajali hiyo:
BASI LA LEINA (1) BASI LA LEINA (2) BASI LA LEINA (3) BASI LA LEINA (4) BASI LA LEINA (5) BASI LA LEINA (6)

 

Leave A Reply