The House of Favourite Newspapers

Taswira za Msiba nyumbani kwa Filikunjombe, Mbagala Kijichi-Dar

0

Deo-FilikunjombeAliyekuwa Mbunge wa Ludewa kwa tiketi ya CCM, Deogratias Filikunjombe, enzi za uhai wake.filikunjombe (2) Mke wa marehemu Deogratias Filikunjombe, Sarah Filikunjombe (kushoto) akilia kwa uchungu baada ya kupata tarifa za kifo cha mumewe.filikunjombeNdugu, jamaa na marafiki wakionekana wenye huzuni nyumbani kwa Deogratias Filikunjombe.filikunjombe (3)Nyumbani kwa Deogratias Filikunjombe Mbagala Kijichi, Dar es Salaam.silaaCapt. William Silaa enzi za uhai wake.chopaFilikunjombe akiwaaga wananchi wake.
chopa 2Chopa iliyosababsha kifo cha Filikunjombe, Capt. William Silaa na watu wengine wawili.

Mbunge wa Ludewa Mhe. Deogratias Haule Filikunjombe amefariki dunia katia ajali ya Chopa katika hifadhi ya wanyama ya Selous, pamoja na rubani Kepteni William Silaa mfanyakazi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa.

Wengine waliofariki kwenye ajali hiyo ni Vitalis Blanka haule na Ofisa Tawala wa Wilaya ya Tarime, Bw. Egdi Mkwera ambaye alikuwa mtaalam wa mifugo.

PICHA: DENIS MTIMA/GPL NA MTANDAO

Leave A Reply