Tatizo la Azam Siyo Kocha ni Wachezaji kushindwa kujituma – Video
Muda mfupi baada ya Azam kutangaza kumfungashia virago kocha wake, Yusuf Dabo, mchambuzi mahiri wa soka Bongo, @salehjembefacts amesema tatizo la timu hiyo siyo kocha bali ni wachezaji kushindwa kujituma.