Tazama Kisiwa Cha Ajabu Kusini Unguja, Kuna Kaburi La Mama Na Mwanaye Tu – Video
Kaburi la ajabu linalotambulika kwa jina la Kaburi la Mwanakuya lililopo Kisiwa cha Nyamembe Kusini Unguja limekuwa ni moja ya sehemu ya maajabu ambapo ukipita sehemu ya kaburi hilo linatingishika.
Pia ni sehemu ambayo haioti majani kabisa na watu wengi wanakwenda sehemu hiyo kwa ajili ya kufanya maombi mbalimbali.
