CHANNEL PENDWA YA GLOBAL TV ONLINE leo imefanya mjadala mubashara kuhusu sakata la madawa ya Wahariri na waandishi wa Global Publishers wamechangia kwa kina kuhusu mjadala huo na haya ndiyo yalikuwa maoni yao.


.
.

.
.
.

CHANNEL PENDWA YA GLOBAL TV ONLINE leo imefanya mjadala mubashara kuhusu sakata la madawa ya Wahariri na waandishi wa Global Publishers wamechangia kwa kina kuhusu mjadala huo na haya ndiyo yalikuwa maoni yao.

Wajume wakichangia majadiliano.
Mjadala umeanza, mhariri kiongozi, Oscar Ndauka anazungumza
Ndauka amekumbushia ishu ya Amina Chifupa alivyopoteza maisha baada ya kusema angewataja majina wauza madawa.
Una chochote cha kuzungumza kuchangia mjadala huu? Weka maoni yako.

Phillip Nkini, Mhariri Championi anazungumza.
Nkini: Ni kweli kuna tattoo la madawa ya kulevya lakini utaratibu unaotumika siyo sahihi, ukimtaja mtu mapema kabla ya kumquat na vidhibiti, anaweza kuvuruga ushahidi.
Nkini: Naunga mkono vita ya madawa lakin mbinu ibadilishwe, Watanzania wote tuungane bila kujali itikadi

Lawrence Kabende, mhasibu mkuu anazungumza
Kabende: Makonde amethubutu kujiweka hadharani na kuhatarisha maisha yake.
Erick Evarist, mhariri Risasi Jumamosi anazungumza

Evarist: Watuhumiwa wangechunguzwa kimyakimya kwanza, wakipatwa na hatia ndiyo watangazwe
Una nini cha kuchangia? Toa mano yako
Imelda Mtema, mwandishi mwandamizi anazungumza
Imelda: Lazima jamii nzima ishiriki kikamilifu, uchunguzi zaidi ufanyike mahali wanaposhinda mateja na wabanwe waoneshe wanaponunua madawa.
John Joseph, mhariri Championi anazungumza.
John: Naunga mkono vita lakini siungi mkono aproach
Emanuel, mwanasheria wa Global anazungumza sasa
Emanuel: Ni ukwell usiopingika kwamba athari za madawa zinatuathiri sote lakini lazima sheria izingatiwe kuwashughulikia wahusika.
Mhariri Mteandaji wa Global Publishers, Saleh Ally akichangia mada.
Boniface Ngumije, mwandishi wa habari anazungumza
Sales Ally, Mhariri Mtendaji anazungumza.
Shigongo: Serikali iwasaidie vijana kutengeneza ajira kwa kujiajiri wenyewe, wazazi wawajibike
Ahsanteni kwa kushiriki, na mpaka hapa tumefika mwisho
Comments are closed.