visa

KINGUO CHA JENIFER LOPEZ, TABU TUPU!

Watanzania wengi wamekuwa wakiiga baadhi ya mitindo wanayokutana nayo katika mitandao ya kijamii hususani ikiwemo Instagram, lakini kuna mitindo mingine sio lazima kuiga, inabidi tuwaachie wenyewe.

Hit-maker wa ngoma ya ‘Dinero’, Jenifer Lopez ame-trend mtandaoni baada ya kuonekana na kivazi kinachoonyesha nguo ya ndani na kuibua mijadala miongoni mwa mashabiki wake.

Taarifa zimeeleza kuwa Jenifer Lopez alivaa kinguo hicho wakati akiwa Miami Florida kwa ajili ya kufanya shooting ya video yake na Dj Khaled ambayo hata hivyo, bado haijajulikana ni wimbo gani.

List yaMastaa Wa Bongo Wanaoishi Kwenye Nyumba Za Ghorofa
Toa comment