The House of Favourite Newspapers

Tazama Rais Samia Akisalimiana na Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)

0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na baadhi ya Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kabla ya kuanza kwa Mkutano wa kawaida wa 24 wa viongozi hao pamoja na maadhimisho ya miaka 25 ya Jumuiya hiyo katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Jijini Arusha tarehe 30 Novemba, 2024.

MBUNGE SHIGONGO ASHIRIKI JUBLEE ya MIAKA 10 ya PADRI HILARY wa PAROKIA ya MWANGIKA…

Leave A Reply