The House of Favourite Newspapers

Tazama Video Mpya ya Kuhani Mtanzania Anayeishi Marekani

Mwimbaji wa muziki wa Injili ambaye ni Mtanzania anayeishi Marekani,  Modeste Kuhani, ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao ‘Hatujafika’, ambao location yake imefanyika nchini Marekani na na Producer ni GM.

Tumekuwekea hapa video mpya zinazofanya vizuri kwa sasa ingia Global App na kama huja install, nimekuwekea link hapa chini:👇👇👇👇

Android ===>GooglePlay

iOS ===>AppStore

 

 

KUUTAZAMA WOTE PLAY HAPA

Comments are closed.