The House of Favourite Newspapers
gunners X

TEC Yatoa Tamko Kushambuliwa Kwa Padri Charles Kitima

Padri Charles Kitima.

Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limetoa tamko kufuatia tukio la kushambuliwa na kupigwa kwa Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Tanzania, Padri Charles Kitima.

Comments are closed.