Tekashi Apata Dili La Mamilioni Akiwa Jela

AKIWA jela akisubiri hukumu Rapa Tekashi 69 ameweza kupewa dili nono la kurekodi Album mbili na label ya 10k projects

Dili hilo litamwingizia Tekashi $10 milioni na label hiyo inaamini kuwa Rapper huyo hatatoka muda si mrefu gerezani.

Mtandao wa TMZ umeripoti kuwa baada ya tekashi kuwa huru atarekodi Album hizo moja ikiwa kwa lugha ya kiingereza na nyengine ya ki Spanish.


Loading...

Toa comment