Tetema Yamfikisha Rayvanny Kwenye Record Kubwa Kitaifa

 

MSANII Rayvanny toka kundi la Wasafi Cl;assic Baby (WCB) amefanikiwa kufikia rekodi ya juu  baada ya wimbo wake wa ‘Tetema’ video  yake kutazamwa mara milioni moja kabla ya masaa 24 katika mtandao wa Youtube.

 

Wimbo wa Tetema aliomshirikisha boss wake, Diamond Platnumz ,ulifanikiwa kutazamwa mara milioni moja kwa muda wa masaa 17 tu kabla ya masaa 24.

 

Wanamuziki Diamond Platnumz na  Alikiba ni baadhi ya waliofanikiwa nyimbo zao kutazamwa mara milioni moja kwa muda wa masaa 24.  Mpaka wakati huu wimbo huo umetazamwa mara milioni 1.2.

 

TAZAMA VIEO HAPA

 

JIUNGE NA FAMILIA YA GLOBAL TV UPANDE MTANDAO WA MAFANIKIO

Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club ==> Global TV Family Club

Loading...

Toa comment