The House of Favourite Newspapers
gunners X

TFF Yatangaza Viingilio Mchezo wa Yanga Vs Simba

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) leo Februari 20, 2017 limetangaza bei ya viingilio kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya watani wa jadi, Simba na Yanga, mchezo ambao utapigwa Jumamosi hii katika Uwanja wa Taifa jijini Dar.

Viingilio ni kama ifuatavyo;

VIP A, 30,000

VIP B & C, 20,000

Orange, 10,000

Kijani & Blue, 7000.

Comments are closed.