The Amazon College Yatangaza nafasi mbalimbali za Kazi
The Amazon College inatangaza nafasi mbalimbali za ajira kwa waombaji wenye sifa na ari ya kufundisha katika fani tofauti. Tunakaribisha maombi kutoka kwa wataalamu waliohitimu na wenye uzoefu katika fani zifuatazo:
🔹 Walimu wa Hotel Management: Upishi/Cookery, Food & Beverage Services, Housekeeping, na Front Office
🔹 Walimu wa kozi ya Uhazili (Secretarial Course)
🔹 Walimu wa kozi ya Urembo na Ususi wa Nywele
🔹 Walimu wa Kiingereza (cha kuongea na kuandika)
🔹 Wakufunzi wa Mafunzo ya Udereva (Driving Instructors)
🔹 Katibu Mutasi wa Ofisi (Office Secretaries)
🔹 Afisa Masoko na Mauzo (Sales & Marketing Officer)
🔹 Wakufunzi wa TEHAMA (ICT)
📍 Tuma maombi yako katika matawi yetu yaliyopo:
Mbagala, Ukonga Banana, Mbezi Luis, Tegeta Kibaoni, Makumbusho Stand, Kibaha Maili Moja, Mlandizi Pwani.
📨 Tuma maombi yako kupitia:
WhatsApp: 📱 0715 170 154
Email: ✉️ [email protected]
Instagram: @theamazoncollege
🌐 Website: www.theamazoncollegetanzania.ac.tz