The House of Favourite Newspapers

The Rock Awa Muigizaji Aliyelipwa Mkwanja Mkubwa 2019/20

0

Kwa mwaka wa pili mfululizo, Dwayne Johnsonanayefahamika zaidi kama The Rock ametajwa kuwa Muigizaji aliyelipwa zaidi kwa upande wa Wanaume.

 

Jarida la #Forbes limesema The Rock ameingiza Dola Milioni 87.5 (takriban Tsh. Bilioni 203) kati ya Juni 01, 2019 na Juni 01, 2020. Lakini pia, kipato chake kimetokana na kampuni yake ya nguo ya Project Rock.

 

Waigizaji wengine walio kwenye orodha hiyo ni Ryan Reynolds, Mark Wahlberg, Ben Affleck, Vin Diesel, Akshay Kumar, Lin-Manuel Miranda, Will Smith, Adam Sandler na Jackie Chan.

 

Leave A Reply