The House of Favourite Newspapers

Thea: nimesahau kama niliolewa!

0

THEA771

Mwigizaji wa kitambo katika tasnia ya sinema za Kibongo, Salome Urassa ‘Thea’

Duh! Mwigizaji wa kitambo katika tasnia ya sinema za Kibongo, Salome Urassa ‘Thea’ ametoa kali ya mwaka baada ya kudai kuwa alishasahau kama aliwahi kuolewa na kuvaa shela kanisani.
Akizungumza na Ijumaa Wikienda, Thea aliweka wazi kwamba, kuna kipindi huwa anasahau kama aliwahi kuolewa na hii inatokana na mapenzi aliyokuwa nayo huko nyuma kuwa kama shubiri hivyo kufanya akili yake kusahau kila kitu kilichopita katika maisha yake ya kimapenzi.
“Unaweza kushangaa akili yangu siku hizi inakumbuka vitu vingine kabisa,” alisema Thea.

Leave A Reply