The House of Favourite Newspapers

THERESE: Binti aliyedaiwa kumla nyama bibi yake!

BIBI alikuwa anaumwa sana, kwa bahati mbaya akafariki. Nilikuwa nikiishi na baba na mama yangu pamoja na bibi pamoja na ndugu wengine.  “Alipofariki, watu wote walinigeukia mimi, waliamini mimi ni mchawi…..

 

“Wazazi wangu waliamua kunitoa ili niuawe, wakati huo tayari wananchi wenye hasira walikuwa wamejaa pale nyumbani kwetu. Walisema nimwagiwe petrol nichomw moto mpka nife….” Binti Therese amefunguka A-Z mkasa wa kumla nyama bibi yake.

 

Kuisoma Storihi hii kamili Download Global App kisha ingia kwenye Menu ya MAGAZETI, utaisoma Full.

Install

Android: ==> 

iOS: ==>

 

Comments are closed.